Добро пожаловать
Вход

TANZIA: STAA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA

Спасибо! Поделитесь с друзьями!

URL

Вам не понравилось видео. Спасибо за то что поделились своим мнением!

Sorry, only registred users can create playlists.
URL


Добавлено пользователем Admin В
13 просмотр(ов)

Описание

TANZIA: STAA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA

Msanii wa Bongo muvi Diana Choudry Nsumba amefariki Dunia ghafla siku ya jana wakati akikimbizwa Hospitalini kwa matibabu zaidi, Global tv imefanikiwa kufika mpaka nyumbani kwao Magomeni kagera jijini Dar nakushuhudia umati mkubwa wa watu, uku jambo la kushangaza ni kwamba hakuna msanii mwenzake hata mmoja aliyefika eneo hilo.

Mwili wa marehemu umezikwa leo saa 14 mchana katika makaburi ya Mburahati jijini dar, lakini mpaka habari hii inakujia mama mzazi wa msanii huyo hakuwa tayari kuzungumza, Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya marehemu mahala pema peponi. Amina

GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982)
HABARI MPYA DAILY:https://www.youtube.com/playlist?list...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:https://www.youtube.com/playlist?list...
GLOBAL RADIO TV:https://www.youtube.com/playlist?list..

Написать комментарий

Комментарии

Комментариев нет.